Immigration passport application form

Logo

Logo

e-Immigration Portal

png

Mfumo wa Passport

Hii ni huduma mpya inayomuwezesha muombaji kujaza Fomu ya Maombi ya Pasipoti kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, atatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya Uhamiaji iliyo karibu naye kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yake ya Pasipoti.

Chagua Huduma

Ombi Jipya

Kwa Mwombaji anayeanza kujaza fomu ya maombi ya Pasipoti kwa njia ya kielektroniki kwa mara ya kwanza (hata kama alishawahi kuwa na pasipoti).

Endeleza Ombi

Kwa Mwombaji ambaye alishajaza fomu ya maombi ya pasipoti kwa njia ya kielktroniki na kufikia hatua ya kupatiwa Namba ya Ombi. Hatua hii itampa fursa ya kurekebisha taarifa zake au Kupakua na kuichapisha fomu yake. Ni hatua muhimu katika kuendeleza ombi la Mteja ambalo halikufikia hatua ya mwisho.

Ufuatiliaji wa Ombi

PUBLIC NOTICE

We regret to inform our esteemed clients that, Online Immigration Services will not be available from tomorrow Friday 21st June, 2024 at 1500 hours to Saturday 22nd June, 2024 at 1600 hours. This is due to some necessary maintenance exercise. We are sorry for any inconvenience caused.

Tunasikitika kuwajulisha wapendwa wateja wetu kuwa siku ya kesho Ijumaa tarehe 21 Juni, 2024 kuanzia saa 9.00 alasiri hadi Jumamosi tarehe 22 Juni, 2022 saa 10.00 alasiri huduma za Uhamiaji kwa njia ya mtandao hazitapatikana. Hii ni kutokana na zoezi muhimu la maboresho ya mifumo ya huduma husika. Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.